Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.
Luka 17:5 - Swahili Revised Union Version Mitume wakamwambia Bwana, Tuongezee imani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mitume wakamwambia Bwana, “Utuongezee imani.” Biblia Habari Njema - BHND Mitume wakamwambia Bwana, “Utuongezee imani.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mitume wakamwambia Bwana, “Utuongezee imani.” Neno: Bibilia Takatifu Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.” Neno: Maandiko Matakatifu Mitume wake wakamwambia Bwana isa, “Tuongezee imani.” BIBLIA KISWAHILI Mitume wakamwambia Bwana, Tuongezee imani. |
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.
tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi katika mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Mungu.