Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.
Luka 17:19 - Swahili Revised Union Version Akamwambia, Inuka, nenda zako, imani yako imekuokoa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Biblia Habari Njema - BHND Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Inuka, nenda zako, imani yako imekuokoa. |
Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.
Yesu akamwambia, Nenda zako, imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani.
Akamwambia, Binti, imani yako imekuponya, nenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena.