Ikawa alipoingia ndani ya nyumba ya mtu mmoja miongoni mwa wakuu wa Mafarisayo siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.
Luka 14:2 - Swahili Revised Union Version Na tazama, mbele yake palikuwa na mtu mwenye ugonjwa wa safura. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili. Biblia Habari Njema - BHND Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili. Neno: Bibilia Takatifu Hapo mbele yake palikuwa na mtu mmoja mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili. Neno: Maandiko Matakatifu Papo hapo mbele yake palikuwa na mtu mmoja mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili. BIBLIA KISWAHILI Na tazama, mbele yake palikuwa na mtu mwenye ugonjwa wa safura. |
Ikawa alipoingia ndani ya nyumba ya mtu mmoja miongoni mwa wakuu wa Mafarisayo siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.
Yesu akajibu, akawaambia wanasheria na Mafarisayo, Je! Ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo?