Luka 12:34 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Biblia Habari Njema - BHND Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu. |
Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo;