Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Luka 12:23 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi. Biblia Habari Njema - BHND Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi. Neno: Bibilia Takatifu Maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi. Neno: Maandiko Matakatifu Maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi. |
Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yote aliyo nayo yamo katika uwezo wako; lakini usinyoshe mkono wako juu yake yeye mwenyewe. Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA.
Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hiyo nawaambia, Msisumbukie maisha yenu, mtakula nini; wala miili yenu, mtavaa nini.
Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, lakini Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!