Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Luka 11:38 - Swahili Revised Union Version Farisayo huyo alipomwona, alistaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Biblia Habari Njema - BHND Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Neno: Bibilia Takatifu Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula. Neno: Maandiko Matakatifu Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula. BIBLIA KISWAHILI Farisayo huyo alipomwona, alistaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula. |
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Alipokuwa akinena, Farisayo mmoja alimwita aje kwake ale chakula; akaingia, akaketi chakulani.