Luka 1:61 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Hapana mtu katika jamaa zako aitwaye jina hilo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Biblia Habari Njema - BHND Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Neno: Bibilia Takatifu Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Hapana mtu katika jamaa zako aitwaye jina hilo. |