Luka 1:40 - Swahili Revised Union Version akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Biblia Habari Njema - BHND Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Neno: Bibilia Takatifu Akaingia nyumbani mwa Zakaria na kumsalimu Elizabeti. Neno: Maandiko Matakatifu Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti. BIBLIA KISWAHILI akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti. |
Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hadi katika nchi yenye milima kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yudea,
Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu;
Zamani za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.