Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakawajibika kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;
Luka 1:23 - Swahili Revised Union Version Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Biblia Habari Njema - BHND Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Neno: Bibilia Takatifu Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani mwake. Neno: Maandiko Matakatifu Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake. BIBLIA KISWAHILI Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake. |
Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakawajibika kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;
Alipotoka akiwa hawezi kusema nao, walitambua ya kuwa ameona maono ndani ya hekalu, naye aliendelea kuwaashiria akakaa bubu.