Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Kutoka 1:2 - Swahili Revised Union Version Reubeni, na Simeoni na Lawi, na Yuda; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Biblia Habari Njema - BHND Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Neno: Bibilia Takatifu Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; Neno: Maandiko Matakatifu Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; BIBLIA KISWAHILI Reubeni, na Simeoni na Lawi, na Yuda; |
Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Hao ndio wana wa Bilha, ambaye Labani alimpa Raheli, binti yake, naye akamzalia Yakobo hao; wote walikuwa watu saba.
Basi majina ya wana wa Israeli walioingia Misri ni haya; kila mtu pamoja na jamaa zake walikuja pamoja na Yakobo.