BWANA akamwambia, Ni nani aliyekifanya kinywa cha mwanadamu? Au ni nani afanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi, au mwenye kuona, au kuwa kipofu? Si mimi, BWANA?
Isaya 42:18 - Swahili Revised Union Version Sikilizeni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Sikilizeni enyi viziwi! Tazameni enyi vipofu, mpate kuona! Biblia Habari Njema - BHND “Sikilizeni enyi viziwi! Tazameni enyi vipofu, mpate kuona! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Sikilizeni enyi viziwi! Tazameni enyi vipofu, mpate kuona! Neno: Bibilia Takatifu “Sikieni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona! Neno: Maandiko Matakatifu “Sikieni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona! BIBLIA KISWAHILI Sikilizeni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona. |
BWANA akamwambia, Ni nani aliyekifanya kinywa cha mwanadamu? Au ni nani afanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi, au mwenye kuona, au kuwa kipofu? Si mimi, BWANA?
Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho kitabu, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.
Ndipo alipojibu, akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana hayo mliyoyaona na kuyasikia; vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanahubiriwa Habari Njema.