Kwa kuwa hatuna budi kufa, nasi tu kama maji yaliyomwagika chini, yasiyoweza kuzoleka tena; wala Mungu haondoi maisha ila hufikiri shauri, kwamba yeye aliyefukuzwa asiwe mkimbizi kwake.
Isaya 32:8 - Swahili Revised Union Version Bali muungwana huwaza mambo ya kiungwana, naye hushika sana mambo ya kiungwana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini waungwana hutenda kiungwana, nao hutetea mambo ya kiungwana. Biblia Habari Njema - BHND Lakini waungwana hutenda kiungwana, nao hutetea mambo ya kiungwana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini waungwana hutenda kiungwana, nao hutetea mambo ya kiungwana. Neno: Bibilia Takatifu Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana, na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana, na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa. BIBLIA KISWAHILI Bali muungwana huwaza mambo ya kiungwana, naye hushika sana mambo ya kiungwana. |
Kwa kuwa hatuna budi kufa, nasi tu kama maji yaliyomwagika chini, yasiyoweza kuzoleka tena; wala Mungu haondoi maisha ila hufikiri shauri, kwamba yeye aliyefukuzwa asiwe mkimbizi kwake.
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu ghorofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.
maana walipokuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi, wingi wa furaha yao na umaskini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao.