Isaya 28:8 - Swahili Revised Union Version Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Biblia Habari Njema - BHND Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Neno: Bibilia Takatifu Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Neno: Maandiko Matakatifu Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. BIBLIA KISWAHILI Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. |
na kumbe! Furaha, na kuchekelea, na kuchinja ng'ombe, na kuchinja kondoo, na kula nyama, na kunywa mvinyo; tule, tunywe, kwa maana kesho tutakufa.
na Moabu atagaagaa katika matapiko yake, naye atadhihakiwa. Kwa maana Israeli, je! Hakuwa dhihaka kwako?