Isaya 28:8 - Swahili Revised Union Version8 Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. Tazama sura |