Methali 26:11 - Swahili Revised Union Version11 Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kama vile mbwa arudiavyo matapishi yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Tazama sura |