Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuielewa.
Isaya 28:11 - Swahili Revised Union Version La, bali kwa midomo ya watu wageni, na kwa lugha nyingine atasema na watu hawa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Biblia Habari Njema - BHND Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Neno: Bibilia Takatifu Sawa kabisa, kwa midomo migeni na kwa lugha ngeni, Mungu atasema na watu hawa, Neno: Maandiko Matakatifu Sawa kabisa, kwa midomo migeni na kwa lugha ngeni, Mungu atasema na watu hawa, BIBLIA KISWAHILI La, bali kwa midomo ya watu wageni, na kwa lugha nyingine atasema na watu hawa; |
Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuielewa.
Angalia, nitaleta taifa juu yenu litokalo mbali sana, Ee nyumba ya Israeli, asema BWANA; ni taifa hodari, ni taifa la zamani sana, taifa ambalo hujui lugha yake, wala huyafahamu wasemayo.
Maana wewe hukutumwa kwa watu wa lugha isiyoeleweka, ama wa lugha ngumu, bali kwa nyumba ya Israeli;
Imeandikwa katika torati, Nitasema na watu hawa kwa watu wa lugha nyingine, na kwa midomo ya wageni, wala hata hivyo hawatanisikia, asema Bwana.
BWANA atakuletea taifa juu yako kutoka mbali, kutoka ncha ya dunia, kama arukavyo tai; taifa usiloufahamu ulimi wake;