Mlinzi akapaaza sauti, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yuko peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Isaya 21:6 - Swahili Revised Union Version Maana Bwana ameniambia hivi, Nenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Biblia Habari Njema - BHND Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona. Neno: Bibilia Takatifu Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona. Neno: Maandiko Matakatifu Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona. BIBLIA KISWAHILI Maana Bwana ameniambia hivi, Nenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze. |
Mlinzi akapaaza sauti, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yuko peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya;
Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.