Nao farasi aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi, kila kundi na thamani yake.
Isaya 19:9 - Swahili Revised Union Version Tena wao wafanyao kazi ya kuchana kitani watafadhaika, na hao pia wafumao bafta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafuma nguo za kitani watakata tamaa, wote kwa pamoja watakufa moyo. Biblia Habari Njema - BHND Wafuma nguo za kitani watakata tamaa, wote kwa pamoja watakufa moyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafuma nguo za kitani watakata tamaa, wote kwa pamoja watakufa moyo. Neno: Bibilia Takatifu Wale watu wafanyao kazi ya kitani kilichochambuliwa watakata tamaa, wafumaji wa kitani safi watavunjika moyo. Neno: Maandiko Matakatifu Wale watu wafanyao kazi ya kitani kilichochambuliwa watakata tamaa, wafumaji wa kitani safi watavunjika moyo. BIBLIA KISWAHILI Tena wao wafanyao kazi ya kuchana kitani watafadhaika, na hao pia wafumao bafta. |
Nao farasi aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi, kila kundi na thamani yake.
zile nguzo mbili, na mabakuli mawili ya mataji yalikuwa juu ya nguzo; na nyavu mbili za kuvifunika hivyo viumbe viwili vya mataji yaliyokuwa juu ya nguzo;
Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa ukoo wa wafuma nguo za kitani safi, wa ukoo wa Ashbea;
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe bendera kwako; na chandarua chako kilikuwa cha rangi ya samawati na urujuani toka visiwa vya Elisha.