Isaya 19:8 - Swahili Revised Union Version8 Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watupao ndoana katika Mto Naili, na watupao nyavu katika maji watadhoofika kwa majonzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wale wote watupao ndoano katika Mto Naili, watadhoofika kwa majonzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia. Tazama sura |