Nawe umeamriwa; fanyeni hivi, mjitwalie magari katika nchi ya Misri kwa watoto wenu wadogo na wake zenu, mkamchukue baba yenu mje.
Hesabu 7:7 - Swahili Revised Union Version Wana wa Gershoni akawapa magari mawili na ng'ombe wanne, kama utumishi wao ulivyokuwa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Biblia Habari Njema - BHND Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Neno: Bibilia Takatifu Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, Neno: Maandiko Matakatifu Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, BIBLIA KISWAHILI Wana wa Gershoni akawapa magari mawili na ng'ombe wanne, kama utumishi wao ulivyokuwa; |
Nawe umeamriwa; fanyeni hivi, mjitwalie magari katika nchi ya Misri kwa watoto wenu wadogo na wake zenu, mkamchukue baba yenu mje.