Hesabu 7:60 - Swahili Revised Union Version Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, mkuu wa wana wa Benyamini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake. Neno: Maandiko Matakatifu Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake. BIBLIA KISWAHILI Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, mkuu wa wana wa Benyamini; |
tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni;
matoleo yake yalikuwa sahani moja ya fedha, uzani wake ni shekeli mia moja na thelathini, na bakuli moja ya fedha, uzani wake shekeli sabini, kwa shekeli ya mahali patakatifu; vyombo hivyo vyote viwili vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, kuwa sadaka ya unga;