Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na mabakuli, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.
Hesabu 7:44 - Swahili Revised Union Version na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Biblia Habari Njema - BHND kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Neno: Bibilia Takatifu sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Neno: Maandiko Matakatifu sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; BIBLIA KISWAHILI na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; |
Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na mabakuli, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.
matoleo yake yalikuwa sahani moja ya fedha, uzani wake ni shekeli mia moja na thelathini, na bakuli moja ya fedha, uzani wake shekeli sabini, kwa shekeli ya mahali patakatifu; vyombo hivyo vyote viwili vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, kuwa sadaka ya unga;
na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kuwa sadaka ya kuteketezwa;