Hesabu 7:44 - Swahili Revised Union Version44 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; Tazama sura |