Hesabu 7:20 - Swahili Revised Union Version na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilikuwa kimejaa uvumba; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Biblia Habari Njema - BHND kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Neno: Bibilia Takatifu sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Neno: Maandiko Matakatifu sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; BIBLIA KISWAHILI na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilikuwa kimejaa uvumba; |
yeye akasongeza matoleo yake, sahani moja ya fedha, uzani wake ni shekeli mia moja na thelathini, na bakuli moja ya fedha, uzani wake shekeli sabini, kwa shekeli ya mahali patakatifu; vyombo hivyo vyote viwili vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, kuwa ni sadaka ya unga;
na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kuwa sadaka ya kuteketezwa;