Hesabu 7:20 - Swahili Revised Union Version20 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilikuwa kimejaa uvumba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kikiwa kimejazwa ubani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilikuwa kimejaa uvumba; Tazama sura |