Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;
Hesabu 6:1 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, |
Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;
Nena na watu wa Israeli, uwaambie, Mwanamume au mwanamke atakapoweka nadhiri maalumu, nadhiri ya Mnadhiri, ili ajiweke wakfu kwa BWANA;