Hesabu 5:12 - Swahili Revised Union Version Nena na wana wa Israeli, uwaambie, kama mke wa mtu yeyote akikengeuka, na kumkosa mumewe, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Waambie Waisraeli: Kama mke wa mtu yeyote amepotoka akakosa uaminifu kwa mumewe, Biblia Habari Njema - BHND “Waambie Waisraeli: Kama mke wa mtu yeyote amepotoka akakosa uaminifu kwa mumewe, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Waambie Waisraeli: Kama mke wa mtu yeyote amepotoka akakosa uaminifu kwa mumewe, Neno: Bibilia Takatifu “Nena na Waisraeli uwaambie: ‘Ikiwa mke wa mtu amepotoka na si mwaminifu kwa mumewe, Neno: Maandiko Matakatifu “Nena na Waisraeli uwaambie: ‘Ikiwa mke wa mtu amepotoka na si mwaminifu kwa mumewe, BIBLIA KISWAHILI Nena na wana wa Israeli, uwaambie, kama mke wa mtu yeyote akikengeuka, na kumkosa mumewe, |
Hii ndiyo sheria ya wivu, mwanamke, ambaye yu chini ya mumewe, akikengeuka, na kupata unajisi;
Mtu akiisha kutwaa mke kwa kumwoa, asipopata kibali machoni mwake, kwa kuwa ameona neno ovu kwake, na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake.