Hesabu 4:42 - Swahili Revised Union Version Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao, Biblia Habari Njema - BHND Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao, Neno: Bibilia Takatifu Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. Neno: Maandiko Matakatifu Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. BIBLIA KISWAHILI Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, |
na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya makuhani kufuata nyumba za baba zao, na Walawi, wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, katika sehemu yao, kwa kadiri ya zamu zao;
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Gershoni, wote waliotumika katika hema ya kukutania, ambao Musa na Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA.
kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,