Hesabu 4:29 - Swahili Revised Union Version Katika habari ya wana wa Merari, utawahesabu kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Biblia Habari Njema - BHND “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Neno: Bibilia Takatifu “Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao. Neno: Maandiko Matakatifu “Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao. BIBLIA KISWAHILI Katika habari ya wana wa Merari, utawahesabu kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao; |
Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Wagershoni katika hema ya kukutania; na ulinzi utakuwa chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani.
tangu aliyepata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, utawahesabu, kila atakayeingia katika huo utumishi, ili kufanya kazi ya hema ya kukutania.
na wana wa Merari akawapa magari manne na ng'ombe wanane kama utumishi wao ulivyokuwa, chini ya mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni kuhani.