Benyamini ni mbwamwitu mwenye kuraruararua Asubuhi atakula mawindo, Na jioni atagawanya mateka.
Hesabu 34:21 - Swahili Revised Union Version Katika kabila la Benyamini, ni Elidadi mwana wa Kisloni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Benyamini, Elidadi mwana wa Kisloni. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Benyamini, Elidadi mwana wa Kisloni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Benyamini, Elidadi mwana wa Kisloni. Neno: Bibilia Takatifu Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini; Neno: Maandiko Matakatifu Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini; BIBLIA KISWAHILI Katika kabila la Benyamini, ni Elidadi mwana wa Kisloni. |
Benyamini ni mbwamwitu mwenye kuraruararua Asubuhi atakula mawindo, Na jioni atagawanya mateka.
Yuko Benyamini mdogo, mtawala wao; Wakuu wa Yuda, kundi lao; Wakuu wa Zabuloni; Wakuu wa Naftali.
Akamnena Benyamini, Mpenzi wa BWANA atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.