Hesabu 33:6 - Swahili Revised Union Version Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. BIBLIA KISWAHILI Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. |
Wakasafiri kutoka Ethamu, na kurudi nyuma hata Pi-hahirothi palipokabili Baal-sefoni; wakapiga kambi mbele ya Migdoli.