Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la Agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Hesabu 33:16 - Swahili Revised Union Version Wakasafiri kutoka nyika ya Sinai, wakapiga kambi Kibroth-hataava. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Sinai walipiga kambi yao huko Kibroth-hataava. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Sinai walipiga kambi yao huko Kibroth-hataava. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Sinai walipiga kambi yao huko Kibroth-hataava. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka nyika ya Sinai, wakapiga kambi Kibroth-hataava. |
Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la Agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Jina la mahali pale likaitwa Kibroth-hataava; maana, ni hapo walipowazika hao watu waliotamani.
Kisha mkutano wa wafuasi waliokuwa kati yao, wakashikwa na tamaa; wana wa Israeli nao wakalia tena, wakasema, Ni nani atakayetupa nyama tule?
BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;