Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 33:17 - Swahili Revised Union Version

17 Wakasafiri kutoka Kibroth-hataava, wakapiga kambi Haserothi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kutoka Kibroth-hataava, walipiga kambi yao huko Haserothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kutoka Kibroth-hataava, walipiga kambi yao huko Haserothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kutoka Kibroth-hataava, walipiga kambi yao huko Haserothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi.

Tazama sura Nakili

Hesabu 33:17
3 Marejeleo ya Msalaba  

Jina la mahali pale likaitwa Kibroth-hataava; maana, ni hapo walipowazika hao watu waliotamani.

Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi.

Wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi Rithma.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo