Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.
Hesabu 33:10 - Swahili Revised Union Version Wakasafiri kutoka Elimu wakapiga kambi karibu na Bahari ya Shamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Biblia Habari Njema - BHND Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Elimu wakapiga kambi karibu na Bahari ya Shamu. |
Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.
Mkutano wote wa wana wa Israeli ukasafiri, kutoka bara ya Sini kwa safari zao, kama BWANA alivyowaagiza, wakatua Refidimu; napo hapakuwa na maji, watu wanywe.
Wakasafiri kutoka Mara, wakafika Elimu; huko Elimu palikuwa na chemchemi za maji kumi na mbili, na mitende sabini; nao wakapiga kambi Elimu.