Hesabu 26:8 - Swahili Revised Union Version Na wana wa Palu; Eliabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wazawa wa Palu walikuwa Eliabu, Biblia Habari Njema - BHND Wazawa wa Palu walikuwa Eliabu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wazawa wa Palu walikuwa Eliabu, Neno: Bibilia Takatifu Mwana wa Palu alikuwa Eliabu, Neno: Maandiko Matakatifu Mwana wa Palu alikuwa Eliabu, BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Palu; Eliabu. |
Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini.
Na wana wa Eliabu; Nemueli, na Dathani, na Abiramu. Hawa ndio Dathani na Abiramu waliochaguliwa na mkutano, ambao walishindana na Musa na Haruni katika mkutano wa Kora, hapo waliposhindana na BWANA;