Hesabu 26:47 - Swahili Revised Union Version Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Biblia Habari Njema - BHND Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Neno: Bibilia Takatifu Hizo zilikuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400. BIBLIA KISWAHILI Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne. |