Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hesabu 26:46 - Swahili Revised Union Version Na jina la binti wa Asheri aliitwa Sera. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera. Biblia Habari Njema - BHND Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera. Neno: Bibilia Takatifu Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera. Neno: Maandiko Matakatifu (Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.) BIBLIA KISWAHILI Na jina la binti wa Asheri aliitwa Sera. |
Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne.