Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hesabu 26:45 - Swahili Revised Union Version Wa wana wa Beria; wa Heberi, jamaa ya Waheberi; wa Malkieli, jamaa ya Wamalkieli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Koo za Heberi na Malkieli zilitokana na Beria. Biblia Habari Njema - BHND Koo za Heberi na Malkieli zilitokana na Beria. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Koo za Heberi na Malkieli zilitokana na Beria. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kwa wazao wa Beria: kutoka kwa Heberi, ukoo wa Waheberi; kutoka kwa Malkieli, ukoo wa Wamalkieli. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kwa wazao wa Beria: kutoka kwa Heberi, ukoo wa Waheberi; kutoka kwa Malkieli, ukoo wa Wamalkieli. BIBLIA KISWAHILI Wa wana wa Beria; wa Heberi, jamaa ya Waheberi; wa Malkieli, jamaa ya Wamalkieli. |
Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Na wana wa Asheri kwa jamaa zao; wa Imna, jamaa ya Waimna; wa Ishvi jamaa ya Waishvi; wa Beria, jamaa ya Waberia.