Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.
Hesabu 26:39 - Swahili Revised Union Version wa Shufamu, jamaa ya Washufamu; wa Hufamu, jamaa ya Wahufamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shufamu na Hufamu. Biblia Habari Njema - BHND Shufamu na Hufamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shufamu na Hufamu. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu; kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu; kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. BIBLIA KISWAHILI wa Shufamu, jamaa ya Washufamu; wa Hufamu, jamaa ya Wahufamu. |
Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.
Na wana wa Benyamini kwa jamaa zao; wa Bela, jamaa ya Wabela; na wa Ashbeli, jamaa ya Waashbeli; wa Ahiramu, jamaa ya Waahiramu;
Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani.