Hesabu 26:32 - Swahili Revised Union Version na wa Shemida, jamaa ya Washemida; na wa Heferi, jamaa ya Waheferi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shemida na Heferi. Biblia Habari Njema - BHND Shemida na Heferi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shemida na Heferi. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi. BIBLIA KISWAHILI na wa Shemida, jamaa ya Washemida; na wa Heferi, jamaa ya Waheferi. |
Na Selofehadi mwana wa Heferi hakuwa na watoto wa kiume, isipokuwa wa kike; na majina ya hao binti za Selofehadi ni haya, Mala, na Nuhu, na Hogla, na Milka, na Tirza.
Na kura ilikuwa ni ya hao wana wa Manase waliosalia kwa kufuata jamaa zao; kwa wana wa Abiezeri, kwa wana wa Heleki, kwa wana wa Asrieli, kwa wana wa Shekemu, kwa wana wa Heferi na kwa wana wa Shemida; hao ndio wana wa kiume wa Manase, mwana wa Yusufu, kwa kufuata jamaa zao.