wale waliohesabiwa katika kabila la Zabuloni, walikuwa watu elfu hamsini na saba na mia nne (57,400).
Hesabu 2:8 - Swahili Revised Union Version na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na saba na mia nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu hamsini na saba na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 57,400. BIBLIA KISWAHILI na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na saba na mia nne. |
wale waliohesabiwa katika kabila la Zabuloni, walikuwa watu elfu hamsini na saba na mia nne (57,400).
Hao wote waliohesabiwa katika kambi ya Yuda walikuwa elfu mia moja themanini na sita na mia nne, kwa makundi yao. Hao ndio watakaotangulia mbele.