Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya.
Hesabu 2:1 - Swahili Revised Union Version BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo: Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo: Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu aliwaambia Musa na Haruni: Neno: Maandiko Matakatifu bwana aliwaambia Musa na Haruni: BIBLIA KISWAHILI BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, |
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya.
Ndipo hema ya kukutania itasafiri, pamoja na kambi za Walawi katikati ya kambi zote; kama wapangavyo kambi, watasafiri vivyo hivyo, kila mtu mahali pake, penye bendera zao.
Wana wa Israeli watapanga kila mtu penye bendera yake mwenyewe, na alama za nyumba za baba zao; kuikabili hema ya kukutania ndiko watakakopanga kwa kuizunguka pande zote.
ndipo wakuu wa Israeli, vichwa vya nyumba za baba zao, wakatoa matoleo; hao ndio wakuu wa makabila, hao ndio waliokuwa juu yao waliohesabiwa;