vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi.
Hesabu 16:8 - Swahili Revised Union Version Musa akamwambia Kora, Sikilizeni basi, enyi Wana wa Lawi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose akaendelea kumwambia Kora, “Sikilizeni, enyi Walawi! Biblia Habari Njema - BHND Mose akaendelea kumwambia Kora, “Sikilizeni, enyi Walawi! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose akaendelea kumwambia Kora, “Sikilizeni, enyi Walawi! Neno: Bibilia Takatifu Pia Musa akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni. Neno: Maandiko Matakatifu Pia Musa akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni. BIBLIA KISWAHILI Musa akamwambia Kora, Sikilizeni basi, enyi Wana wa Lawi; |
vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi.
Je! Mwaona kuwa ni jambo dogo kwenu, kuwa Mungu wa Israeli amewatenga ninyi na mkutano wa Israeli, ili apate kuwakaribisha kwake; ili mhudumu katika maskani ya BWANA, na kusimama mbele ya mkutano ili kuwatumikia;
Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo kijana, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.