Hesabu 15:23 - Swahili Revised Union Version hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Biblia Habari Njema - BHND kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Neno: Bibilia Takatifu amri yoyote ya Mwenyezi Mungu kwenu kupitia Musa, tangu siku ile Mwenyezi Mungu alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo; Neno: Maandiko Matakatifu amri yoyote ya bwana kwenu kupitia Musa, tangu siku ile bwana alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo; BIBLIA KISWAHILI hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu |
ndipo itakapokuwa, kama ni kosa lililofanywa pasipo kujua, wala mkutano haukuwa na fahamu, ndipo mkutano wote utasongeza ng'ombe dume mdogo mmoja kuwa sadaka ya kuteketezwa, kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA, pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka yake ya kinywaji, kama amri ilivyo, na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi.