Ndivyo itakavyofanywa kwa kila ng'ombe, au kwa kila kondoo dume, au kwa kila mwana-kondoo dume, au kila mwana-mbuzi.
Hesabu 15:12 - Swahili Revised Union Version Kama idadi ilivyo ya hao mtakaowaandaa, ndivyo mtakavyofanya kwa kila mmoja, sawa na idadi yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Biblia Habari Njema - BHND Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Neno: Bibilia Takatifu Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa. Neno: Maandiko Matakatifu Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa. BIBLIA KISWAHILI Kama idadi ilivyo ya hao mtakaowaandaa, ndivyo mtakavyofanya kwa kila mmoja, sawa na idadi yao. |
Ndivyo itakavyofanywa kwa kila ng'ombe, au kwa kila kondoo dume, au kwa kila mwana-kondoo dume, au kila mwana-mbuzi.
Wote ambao wamezaliwa kwenu watafanya hayo yote kwa kufuata mfano huo, katika kusongeza sadaka kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa BWANA.