Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Hesabu 11:6 - Swahili Revised Union Version

lakini sasa roho zetu zimekauka; hakuna kitu chochote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!”

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!”

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!”

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

lakini sasa roho zetu zimekauka; hakuna kitu chochote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Hesabu 11:6
3 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akamwambia, Kwa nini, Ee mwana wa mfalme, unakonda hivi siku kwa siku? Hutaki kuniambia? Amnoni akamwambia, Nampenda Tamari, dada ya kaka yangu, Absalomu.

Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.

Watu wakamnung'unikia Mungu, na Musa, Mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri, ili tufe jangwani? Maana hapana chakula, wala hapana maji, na roho zetu zinakinai chakula hiki dhaifu.