Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kama BWANA angewatia roho yake.
Hesabu 11:30 - Swahili Revised Union Version Kisha Musa akaenda akaingia kambini, yeye na wale wazee wa Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mose alirudi kambini pamoja na wale wazee sabini wa Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mose alirudi kambini pamoja na wale wazee sabini wa Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mose alirudi kambini pamoja na wale wazee sabini wa Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Musa na wale wazee wa Israeli wakarudi kambini. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Musa na wale wazee wa Israeli wakarudi kambini. BIBLIA KISWAHILI Kisha Musa akaenda akaingia kambini, yeye na wale wazee wa Israeli. |
Musa akamwambia, Je! Umekuwa na wivu kwa ajili yangu; ingekuwa heri kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kama BWANA angewatia roho yake.
Kisha upepo ukavuma kutoka kwa BWANA, nao ukaleta kware kutoka pande za baharini, nao ukawaacha wakaanguka karibu na kambi, kama kiasi cha mwendo wa siku moja upande huu, na kama kiasi cha mwendo wa siku moja upande ule, kuizunguka, nao wakafikia kiasi cha dhiraa mbili juu ya uso wa nchi.
Basi Musa akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu; na wazee wa Israeli wakafuatana naye.