Hesabu 16:25 - Swahili Revised Union Version25 Basi Musa akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu; na wazee wa Israeli wakafuatana naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, Mose akaenda kwa Dathani na Abiramu, akifuatwa na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, Mose akaenda kwa Dathani na Abiramu, akifuatwa na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, Mose akaenda kwa Dathani na Abiramu, akifuatwa na wazee wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Musa akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu, nao wazee wa Israeli wakafuatana naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Musa akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu, nao wazee wa Israeli wakafuatana naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi Musa akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu; na wazee wa Israeli wakafuatana naye. Tazama sura |