Hesabu 10:31 - Swahili Revised Union Version Naye akamwambia, Usituache, tafadhali; kwa kuwa wewe wajua jinsi tutakavyopiga kambi, nawe utakuwa kiongozi wetu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu. Biblia Habari Njema - BHND Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose akamwambia, “Tafadhali usituache, maana wewe unajua mahali tunapoweza kupiga kambi jangwani, na unaweza kuwa kiongozi wetu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Musa akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Musa akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali ambapo yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu. BIBLIA KISWAHILI Naye akamwambia, Usituache, tafadhali; kwa kuwa wewe wajua jinsi tutakavyopiga kambi, nawe utakuwa kiongozi wetu. |
Nitakufundisha na kukuonesha njia utakayoiendea; Nitakushauri, jicho langu likikutazama.
Isitoshe, ukienda pamoja nasi, naam, mema yote ambayo BWANA atatutendea, nawe tutakutendea vivyo hivyo.