Hesabu 10:27 - Swahili Revised Union Version Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Ahira mwana wa Enani, aliliongoza kabila la Naftali. Biblia Habari Njema - BHND Naye Ahira mwana wa Enani, aliliongoza kabila la Naftali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Ahira mwana wa Enani, aliliongoza kabila la Naftali. Neno: Bibilia Takatifu naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali. Neno: Maandiko Matakatifu naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali. BIBLIA KISWAHILI Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. |
Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele.